Kuweka Biblia katika Maisha (literally, ‘To put the Bible into life’) is a Swahili translation of the well-known Scripture Engagement handbook, Translating the Bible into Action. This book has been translated and published in Tanzania, to use with the local church in any Swahili-speaking context.
Contents (yaliyomo):
Yaliyomo
1. Vizuizi katika Matumizi ya Maandiko
2. Kutumia Zana za Maandiko Zinazofaa
Misingi ya kitheolojia
3. Lugha Katika Mpango wa Mungu
4. Utamaduni Katika Mpango wa Mungu
5. Kutumia Maandiko Yaliyotafsiriwa Katika Lugha za Asili na Kukua kwa Kanisa
Makanisa ambayo waumini wake wanazungumza lugha nyingi
6. Kutumia Maandiko katika Makanisa ambayo Waumini wake Wanazungumza Lugha Nyingi
7. Kuwasaidia Wakalimani Wafanye Kazi yao Vizuri
8. Makanisa yenye Makabila Mengi
Matumizi yanayofaa ya Biblia
9. Kutambua Mambo Muhimu yanayogusa Jamii Husika
10. Kutoa Taarifa Muhimu za Awali
11. Kuandaa Masomo ya Biblia
12. Kushughulikia Matatizo ya Kibinadamu: Uponyaji wa Vidonda vya Moyo
13. Kushughulikia Matatizo ya Kibinadamu: VVU/Ukimwi na Kanisa
14. Kuandaa Mahubiri
15. Kutafakari Neno la Mungu
Kuwaambia wengine kuhusu imani ya Kikristo
16. Kusimulia Habari za Biblia
17. Kujiandaa kuwaambia wengine Habari Njema
18. Kuwashirikisha Watu katika Maandiko wakati wa Uinjilisti
19. Waislamu Wanavyotumia Biblia
20. Kuwashirikisha Watoto na Vijana katika Maandiko
21. Ibada ya nyumbani
Kutumia vipawa ulivyo navyo
22. Kuwashirikisha Watu katika Maandiko kupitia Muziki
23. Kuwashirikisha Watu katika Maandiko kupitia Maigizo
24. Kuwashirikisha Watu katika Maandiko kupitia Sanaa Mbalimbali
Elimu ya kusoma na kuandika
25. Kusoma na Kuandika Lugha za Asili kwa Watu Wanaojua Kusoma na Kuandika
26. Elimu ya Msingi ya Kujua Kusoma na Kuandika na Biblia
Kueneza Maandiko
27. Utafiti, Masoko na Usambazaji
28. Jinsi ya Kuleta Mabadiliko
29. Kujiandaa kwa Ajili ya Semina za Matumizi ya Biblia
To obtain a copy of the book, contact Kanisa la Biblia Publishers. You can either purchase directly from them or find out where you can buy a copy locally. The contact details are on the website.